Majadiliano:Ajali

Latest comment: miaka 14 iliyopita by Baba Tabita

Makala hiyo, tafsiri zake za google translator zilifutana; linganisha makala za tarehe 4 na 11 za Desemba 2009. Tofauti ni ndogo tu lakini nahisi ile ya kwanza (tarehe 4) ilikuwa nzuri kisarufi sehemu fulani. Poleni na kazi! --Baba Tabita (majadiliano) 13:33, 5 Februari 2010 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Ajali ".