Majadiliano:Audax Kahendaguza Vedasto

Latest comment: miaka 4 iliyopita by Kipala

Makala kwa bahati mbaya haina ushahidi kwamba mhsika ana maarufu wowote, na hii inatokana na kutoonyesha vyanzo vyovyote. Pia umbo haliwezi kubaki lisahihishwe maana HATUKUBALI HERUFI KUBWA. Kipala (majadiliano) 21:18, 26 Septemba 2019 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Audax Kahendaguza Vedasto ".