Majadiliano:Backgammon Chouette

Latest comment: miaka 13 iliyopita by Baba Tabita in topic {{umbo}}

{{umbo}} hariri

Umbo la makala hiyo haujawekwa katika Kiswahili sanifu. Bado kumebaki maneno mengi ya Kiingereza (k.m. "the box", "dice", "shifting" n.k.), kwa hiyo inaonekana kama imetafsiriwa kimashine bila kumaliza marekebisho na mikono. Haya, ifanyiwe kazi. Asante! --Baba Tabita (majadiliano) 18:23, 23 Septemba 2010 (UTC)Reply

Return to "Backgammon Chouette" page.