Majadiliano:Bafu za Hamamni, Zanzibar

Latest comment: miaka 3 iliyopita by Kipala

Je kuna uhakika pale Unguja wanasema "Hamami"? Kiswahili sanifu ni "hamamu".Kipala (majadiliano)

Basi jina kweli ni hamamni, na lemma imekosolewa. Nahamisha. Kipala (majadiliano) 14:02, 7 Mei 2021 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Bafu za Hamamni, Zanzibar ".