Majadiliano:Bawasiri

Latest comment: miaka 9 iliyopita by Baba Tabita in topic Kukopa kutoka Kiingereza au la?

Kukopa kutoka Kiingereza au la? hariri

Kwa vile siyo lazima kutumia neno la kukopa kutoka Kiingereza wakati kuna neno la Kiswahili hasa, nimehamisha kichwa cha makala kutoka "Hemoroidi" kwenda "Bawasiri". Lugha nyingine kama Kiindonesia, Kimalay au Kituruki pia hutumia neno kama "Wasir", "Buasir" au kadhalika. --Baba Tabita (majadiliano) 13:10, 5 Juni 2014 (UTC)Reply

Return to "Bawasiri" page.