Majadiliano:Benjamin wa Mambo Jambo
Latest comment: miaka 9 iliyopita by Kipala in topic Makala si kamili
Makala si kamili hariri
Hadi sasa makala haionyeshi ya kwamba mhusika ana umaarufu wowote na kustahili kuwa na makala ya wikipedia. Hakuna mifano ya kazi zake (rekodi, nyimbo) inayotajwa humo. Kipala (majadiliano) 07:08, 2 Juni 2014 (UTC)