Majadiliano:Bombwe (sanaa)

Latest comment: miaka 13 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Makala hii na viungo vingine vya wiki - havileti maana hata kidogo. Sanaa ya upakaji hina si ile sanaa ya mawe ama kuchonga vinyago. Iweje Bombwe ielekezwe huko? Kwa hili, tunapotosha watu waungwana.--MwanaharakatiLonga 04:49, 19 Februari 2011 (UTC) Reply

Return to "Bombwe (sanaa)" page.