Majadiliano:Cassidy

Latest comment: miaka 14 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Jamani waandishi hamuwezi kutazama tafsiri huko kwenye google translate kabla ya kuhifadhi? Maana tafsiri nyingi za uongo. Tafadhalini hebu hakikini hizo tafsiri kabla ya kumwaga hapa kwenye Wikipedia. Tafadhalini sana na sana.--MwanaharakatiLonga 07:00, 23 Desemba 2009 (UTC) Reply

Return to "Cassidy" page.