Majadiliano:Chasasa

Latest comment: miaka 2 iliyopita by Kipala

Nina wasiwasi kuhusumakalahiyo napendekezaifutwe. Maana sijaona orodha ya kata au vijiji penye majina yale yanayotajwa humo. Naona shue ya sekondari ya Chasasa, hakuna nyingine. Pamoja na Kiswahili kibaya na tahajia yenye makosa mengi , tufute. Kipala (majadiliano) 19:41, 3 Februari 2022 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Chasasa ".