Majadiliano:Chombo cha kukamulia cha Warangi

Latest comment: miaka 16 iliyopita by Baba Tabita

Je inawezekana kutaja mjao au ukubwa wa chombo hiki? Ni zaidi sufuria au kikombe kikubwa ? --Kipala (majadiliano) 21:15, 27 Machi 2008 (UTC)Reply

Sawa, nimeutaja. Ingawa nilikuwa nimeshaandika kwamba ukubwa wake ni kama kinu kidogo. Lakini umeuliza vizuri, na kutaja mjao kamili kutasaidia msomaji. Asante! --Baba Tabita (majadiliano) 12:14, 28 Machi 2008 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Chombo cha kukamulia cha Warangi ".