Majadiliano:Dominika

Latest comment: miaka 9 iliyopita by Riccardo Riccioni

Napendekeza tuondoe utata wa kidahizo hiki: jina hilo kwanza ni jina la Kikristo la siku ya Jumapili, halafu limekuwa jina la kisiwa ambacho kwa sasa ni nchi huru. Kwa walio wengi wanaoongea Kiswahili, nchi hiyo haijulikani kabisa, walau Siku ya Bwana wanaielewa. Basi ukurasa wa nchi ubaki Dominica au Dominika (nchi), wakati ule wa siku uitwe Dominika au Dominika (siku). --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:31, 10 Agosti 2014 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Dominika ".