Majadiliano:Elisha mwankundile

Latest comment: miaka 12 iliyopita by Muddyb Blast Producer in topic Futa

Futa hariri

Kwa kawaida makala hii ningeifuta mara moja lakini nitaiacha siku 2 maana inaonekana kuna mgeni ambaye hajaelewa bado utaratibu. Nisipokosei ni Elisha mwenyewe aliyeandika hii. Ninamwomba ajiandikishe kama mtumiaji halafu yuko huru kujieleza jinsi anavyotaka kwenye ukurasa wake wa binafsi. Mwanafunzi kwa kawaida si mada ya makala - kama hakuna ushuhuda ya kwamba wamekuwa maarufu kwa sababu kitabu kimeandikwa juu yake au alikuwa mwenyewe sababu ya majadiliano katika jamii inayoonekana kwa njia ya magazeti n.k. Kama Elisha anajiandikisha atapata dirisha la Karibu lenye maelezo ya kimsingi Kipala (majadiliano) 15:19, 11 Mei 2012 (UTC)Reply

Naunga mkono hoja hii kwa nguvu zote. Umesema kweli kabisa, mzee wangu!--MwanaharakatiLonga 06:28, 12 Mei 2012 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Elisha mwankundile ".