Majadiliano:Fran Hosken

Fran P. Hosken alikuwa ni mbunifu wa kimarekani, mwandishi,mwanaharakati wa maswala yanoyohusu wanawake na jamii kwa ujumla.Alikuwa mwanzilishi wa jumuia ya kimataifa ya wanawake mwaka 1975 na alichapisha jarida lilikuwa linatoa elimu ya kiafya kwa wanawake, na kwa ajili ya kufanya tafiti kuhusiana na ukeketaji.

Rudi kwenye ukurasa wa " Fran Hosken ".