Majadiliano:Go-Komyo

Latest comment: miaka 16 iliyopita by Oliver Stegen in topic Tarehe ya kufariki kwake

Tarehe ya kufariki kwake hariri

Katika makala yake ya wikipedia ya Kiingereza, tarehe yake imetajwa kuwa 30 Oktoba, 1654. Lakini katika makala ya mdogo wake Go-Sai, inasema kwamba alifariki tarehe 5 Januari, 1655. Nimenakili tofauti hizo katika makala hizo mbili. --Oliver Stegen 11:01, 28 Julai 2007 (UTC)Reply

Return to "Go-Komyo" page.