Majadiliano:Joshua Nkomo

Latest comment: miaka 14 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Jamani waandishi hamuwezi kutazama tafsiri huko kwenye google translate kabla ya kuhifadhi? Maana tafsiri nyingi za uongo. Tafadhalini hebu hakikini hizo tafsiri kabla ya kumwaga hapa kwenye Wikipedia. Tafadhalini sana na sana.--MwanaharakatiLonga 06:57, 23 Desemba 2009 (UTC) Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Joshua Nkomo ".