Majadiliano:Kariobangi

Latest comment: miaka 16 iliyopita by Kipala in topic Kariobangi North - Kaskazini?

Kariobangi North - Kaskazini? hariri

Napendelea kuacha jina jinsi lilivyo kama "Kariobangi North" na "Kariobangi South". Sijawahi kumsikia mtu Nairobi anayetumia umbo la Kiswahili hapo. Naona tufuate matamshi ya wenyeji kwa sababu wanaitumia kama jina si kama maelezo "upande wa kaskazini - upande wa kusini". Majina hatutafsiri (Tunaacha "Dar es Salaam" hatutafsiri "Nyumba ya Amani" kwa sabu ni jina). Nikikosea na mtu anajua: kuna watu wa Nairobi wanaosema "Kariobangi Kaskazini" basi tubadilishe --Kipala 16:41, 19 Septemba 2007 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Kariobangi ".