Majadiliano:Kiingereza cha Liberia

Latest comment: miaka 8 iliyopita by Riccardo Riccioni

Je, jina ni sahihi? Hapa naona usahihi unakuja kwa "Kiingereza cha Liberia".. Samahani lakini!--MwanaharakatiLonga 11:12, 12 Septemba 2015 (UTC) Reply

Niliwahi kusema kitu kama hicho kuhusu majina ya lugha, lakini Baba Thabita alisisitiza kuweka ya kwa sababu ni lugha. Kwa vyovyote, tumezoea kusema Kiswahili cha kisasa'. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:44, 12 Septemba 2015 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Kiingereza cha Liberia ".