Majadiliano:Kitabu cha Yoshua

Latest comment: miaka 17 iliyopita by Kipala

Tukianzisha makala juu ya historia ya Biblia napendekeza tutofautishe "Wanaisraeli" na "Waisraeli". Menginevyo naogopa kuchanganya kabisa kwa "Israel" nchi ya leo na "Israel" ya nyakati za Biblia. Nisipokosei lugha ya kawaida katika theolojia ni "wanaisraeli" (isipokuwa si pekee). --Kipala 08:42, 20 Desemba 2006 (UTC)Reply

Return to "Kitabu cha Yoshua" page.