Majadiliano:Kuvu
Latest comment: miaka 8 iliyopita by Kipala in topic Vibufu?
Vibufu? hariri
Nimebadili "vibufu" kwa "spora". Mimi sijui "vibufu" na nikitafuta kwenye mtandao ninaona matini mamoja tu. Nani anajua maana ya "vibufu"? ChriKo (majadiliano) 12:02, 14 Novemba 2015 (UTC)
- Kibufu - vibufu nilichukua wakati ule kutoka KAST; jinsi ilivyo mara nyingi mapendekezo yake hayakupokelewa. TUKI-ESD inapendekeza kiiniyoga na kijimbegu. Kijimbegu ni zaidi maelezo, labda kiiniyoga inaweza kufaa kama jina? Hata hivyo kwenye mtandao kuna mifano michache, angalau mmoja mwenye maana (nisipokosei) http://publications.cta.int/media/publications/downloads/1477_PDF.pdf. Vibufu haifai ila tu kama redirect kama "spora / kiiniyoga (?)" inatungwa. Mara chache mapendekezo ya KAST yanaweza kuonekana baadaye sana. Kipala (majadiliano) 17:38, 14 Novemba 2015 (UTC)