Majadiliano:Libya Jamahiriya

Latest comment: miaka 15 iliyopita by Muddyb Blast Producer in topic Kusudi la makala ?

Kusudi la makala ? hariri

Sina uhakika kusidi la makala ni nini. Kuna makala ya Libya yaani Jamahiriya ya Ujamaa ya watu ya Kilibya-Kiarabu hii ni nchi kwa jumla. Sielewi kama mchangiaji hakujua makala ile au kama alitaka kuanzisha kitu tofauti. Tufanyeje? --Kipala (majadiliano) 14:10, 27 Januari 2009 (UTC)Reply

Ikiwa maelezo kama haya yapo kwenye ukurasa wa Libya, basi haina haja ya hii kuwepo hapa! Badala yake tunamzuga kwa ku-redirect kwa makala husika. Au unaonaje?--Mwanaharakati (Longa) 14:22, 27 Januari 2009 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Libya Jamahiriya ".