Majadiliano:Lugha ya kuundwa

Latest comment: miaka 18 iliyopita by Kipala

Je ni Kiswahili sanifu "lugha iliyotengenezwa" ?? Kamusi ya TUKI ina makala fupi kuhusu Esperanto: "Esperanto -(lugha bandia iliyoundwa kutumiwa na watu wote duniani). Hata usipopenda "Lugha Bandia" (mimi nisingeitumia - ina ladha ya "lugha ya uwongo") heri utumie "lugha ya kuundwa" --Kipala 21:22, 27 Februari 2006 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Lugha ya kuundwa ".