Majadiliano:Mahari

Latest comment: miaka 14 iliyopita by Kipala in topic Makala inakosea kichwa

Makala inakosea kichwa hariri

Hii ni tafsiri ya makala ya wikipedia ya Kiingereza kuhusu "Dowry". Tafsiri hii kama "mahari" inakosa maana ya neno la Kiswahili na maelezo yake ni kinyume chake. Mahari kwa Kiswahili ni mali inayotolewa upande wa Bwana arusi kwa familia ya bibi arusi. Inayoelezwa hapa ni desturi kati ya watu wa Ulaya na Uhindi ambako bibi arusi inaleta mali katika ndoa. "Mahari" ya Kiswahili huitwa "bridewealth" au "brideprice" kwa Kiingereza. --Kipala (majadiliano) 14:54, 23 Desemba 2009 (UTC)Reply

Return to "Mahari" page.