Majadiliano:Marianne Koch

Latest comment: miaka 16 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Ahsante kwa mchango wako, japokuwa huja jiandikisha katika wikipedia ili uweze kuonekana wewe ni nani. Kuna swali kidoogo, huyu mama ni daktari wa tiba gani? Maana umeandika tu daktari wa tiba, lakini haijulikani anatibu nini. Samahani kwa usumbufu, kama utaona nimekosea kuuliza swali hili basi nisamehe, ila tu karibu sana katika wiki hii ya Kiswahili. Kila lakheri. --Mwanaharakati 08:28, 20 Novemba 2007 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Marianne Koch ".