Majadiliano:Meza

Latest comment: miaka 14 iliyopita by Kipala

Maoni 2:

  • Umbo: makala lifuatane na kawaida: hakuna kichwa juu ya makala au mbele ya sentensi ya kwanza.
  • Kama inatarajia kuwa makala ya maana basi maelezo yake ni marefu; ukiona kweli tuwe na makala kuhusu "kumeza" ni sawa ila tu makala ya maana inaweka tu kifupi sentensi moja-moja halafu mengine katika makala ya jambo lenyewe. --Kipala (majadiliano) 20:12, 7 Desemba 2009 (UTC)Reply


Bado maelezo ni marefu mno. Angalia mfano wa makala ya maana: Ndege; isiwe zaidi. Pamoja na hayo unaweza kuanzisha makala ya "meza" (maana ya kwanza). --Kipala (majadiliano) 06:15, 9 Desemba 2009 (UTC)Reply
Return to "Meza" page.