Majadiliano:Mihuri ya mapato ya Zanzibar

Latest comment: miaka 2 iliyopita by Kipala

Tafsiri ya kichwa bado haijaeleweka: mihuri au stempu? Imetokana na makala ipi ya Kiingereza? "Stamp duty in Zanzibar"? Bila kujua chanzo nashindwa kuelewa na kunyosha sentensi. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:39, 19 Agosti 2021 (UTC)Reply

Nimeweka interwiki yake . Kipala (majadiliano) 10:16, 19 Agosti 2021 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Mihuri ya mapato ya Zanzibar ".