Majadiliano:Mkoma (Rorya)

MAMBO MBALIMBALI KATIKA KATA YA MKOMA hariri

MAFANIKIO YA ELIMU KWA UJUMLA KWA KATA YA MKOMA Kata ya Mkoma ina mafanikio mbalimbali ya kielimu kama vile, 1.Uwepo wa shule za Msingi na sekondari. SHULE ZA MSINGI. Kata ya MKOMA ina shule nyingi sana ambazo kwa uchache wake tunaona kua kuna mwamko mkubwa sana wa elimu kwa kata nzima ya MKOMA 2.vyuo viwili

 1.cha afya 
 2.cha VETA

Amabo vina milikiwa na KANISA LA MENNONITE 3.Kuna hospitali na Dispensary ambazo zina toa huduma za kiafya kwa jamii nzima na misaada mbalimbali kwa eneo zima la MKOMA

Rudi kwenye ukurasa wa " Mkoma (Rorya) ".