Majadiliano:Mnyama

Latest comment: miaka 5 iliyopita by ChriKo in topic Mlawangi?

Mlawangi? hariri

Nimeondoa "mlawangi" katika makala. Maana nimeikuta pale facebook pekee, haiko katika kamusi zangu. Hata sielewi etimolojia yake. Kama kuna ushuhuda basi tunaweza kuirudisha. Kipala (majadiliano) 07:24, 29 Januari 2019 (UTC)Reply

Angalia jibu langu katika Majadiliano ya mtumiaji:ChriKo. ChriKo (majadiliano) 13:19, 29 Januari 2019 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Mnyama ".