Majadiliano:Nta ya sikio

Latest comment: miaka 8 iliyopita by ChriKo in topic Kwa nini nta 'za' sikio?

Why leave Latin quotations in English? :) --Federico Leva (BEIC) (majadiliano) 10:29, 7 Novemba 2014 (UTC)Reply

Kwa nini nta 'za' sikio? hariri

Sifahamu kwa nini unasema nta 'za' sikio. Kitu kinachotoka sikio ni kitu kimoja tu, kwa hivyo nadhani kwamba nta 'ya' sikio ni bora. Wamitila na Kyallo (2005) wanakubaliana na mimi. ChriKo (majadiliano) 23:25, 8 Agosti 2015 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Nta ya sikio ".