Majadiliano:Nyungunyungu

Latest comment: miaka 6 iliyopita by ChriKo in topic Nyungunyungu au chambo

Nyungunyungu au chambo hariri

KKK inasema Nyungunyungu anaishi majini na humwingia mtu miguuni. Mara nyingi nimesikia lumbricus anaitwa chambo. Sijui Chriko. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:24, 15 Oktoba 2017 (UTC)Reply

Takriban kamusi zote zinasema kwamba nyungunyungu ni "earthworm". Nyungunyungu wanaweza kutumika kwa chambo au kishawishi cha samaki. Lakini chambo kinaweza kuwa kitu chochote ambacho kinashawishi samaki wang'ate. Wale minyoo ambao humwingia mtu miguuni ni minyoo-bapa na husababisha kichocho. ChriKo (majadiliano) 21:23, 15 Oktoba 2017 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Nyungunyungu ".