Majadiliano:Penalti

Latest comment: miaka 5 iliyopita by Kipala in topic Istilahi ya michezo

Istilahi ya michezo hariri

Makala iliwahi kupanushwa kutaja maana mengi ya neno la kiingereza "penalty". Lakini sioni ushuhuda wowote ya kwamba neno "penati / penalti" linatumiwa kwa Kiswahili nje ya michezo. Kwa hiyo nimerudisha makala pale. Kipala (majadiliano) 07:43, 16 Julai 2018 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Penalti ".