Majadiliano:Saida Karoli

Latest comment: miaka 16 iliyopita by Kipala in topic nyimbo za asili

Karibu tujadiliane kuhusu makala hii ya Saida Karoli.--Muddyb Blast Producer 09:15, 10 Oktoba 2007 (UTC)Reply

nyimbo za asili hariri

Je "nyimbo za asili" zaeleweka waziwazi na Watanzania wote maana yake ni nini? Yaani kama tamko hili latumiwa vile kumaanisha "nyimbo zenye asili katika utamaduni wa kabila fulani"? Kama tamko latumiwa pamoja na maelezo mengine naielewa mara moja. Ikiandikwa peke yake - nilishtuka kidogo. Na Ndomba Muddy utufanulie sisi watu tusiokaa TZ kama limeshakuwa tamko la kawaida kwa maana hiyo. --Kipala 08:17, 11 Oktoba 2007 (UTC)Reply

Salam nyiiingi Kipala, Kipala wapi ilipo andikwa Ndomba? Kwasababu mwana-mama huyu anafahamika kwamba anaimba nyimbo za asili ya, Na asili hiyo nimeileza kwenye makala ni asili ya kihaya sijui nimekosea hapo.--Muddyb Blast Producer 08:43, 11 Oktoba 2007 (UTC)Reply

Mudy salaam, si swali la kosa ni la kuelewana tu. Swali langu ni kama tamko "nyimbo za asili" linaeleweka sawa na "folk music" kwa Kiingereza au la. "Folk Music" ni aina maalumu ya musiki lakini hujui ni kutoka wapi, eneo au kabila gani. Labda Marekani inaeleweka zaidi (sina uhakika) ila tu ukiandika kwa Kiingereza kuhusu "Arab folk Music" au "German Folk Music" inaeleweka kiasi bila kujua ni nini hasa kutoka eneo au kabila gani. Sasa sijui kama dhana hii iko TZ ukisikia "muziki ya asili". Kwa hiyo nimeongezasasa "kihaya" katika mstari wa kwanza. Ukiona sawa uiache ukiona hapana basi utoe. Haya tu kwa kifupi, niko nje sasa. --Kipala 11:20, 11 Oktoba 2007 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Saida Karoli ".