Majadiliano:Shirika la Reli Tanzania

Latest comment: miaka 9 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Salaam. Ndugu, huku kwetu tunaita Shirika la Reli Tanzania.. Na si "ya"... Uzito wa jambo katika kutamka ndiyo huipa hadhi nomino husika. Hapa "la" ndiyo mwake na si ya. Wako mtiifu, Bonge a.k.a--MwanaharakatiLonga 07:30, 30 Mei 2014 (UTC) Reply

Ahsante, sahihisho tayari Kipala (majadiliano) 08:13, 30 Mei 2014 (UTC)Reply
Haya, ninashukuru kwa kusikiza wito! Pamoja sana.--MwanaharakatiLonga 14:11, 30 Mei 2014 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Shirika la Reli Tanzania ".