Majadiliano:Tanzania Tiger Plan

Latest comment: miaka 2 iliyopita by Kipala in topic Futa

Futa hariri

Makala ifutwe. Ni tafsiri ya makala ya enwiki kuhusu mipango iliyotangazwa mwaka 2004 iliyolenga 2020. Makala haikuendelezwa; kuianzisha sasa kwenye mwaka 2021 ingefaa kama ingeonyesha utathmini wa mipango hiyo ambayo haipo. Tena hakuna vyanzo. Jinsi ilivyo ni bure. Kipala (majadiliano) 13:08, 16 Agosti 2021 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Tanzania Tiger Plan ".