Majadiliano:Tiketi

Latest comment: miaka 5 iliyopita by Kipala in topic Bei ya tiketi

Bei ya tiketi hariri

Kifungu hiki hakilingani na hali halisi. Serikali inahusika mara chache tu, si kawaida. Bei inategemea na makadirio ya mwenye biashara au tukio. Kipala (majadiliano) 20:42, 12 Julai 2018 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Tiketi ".