Majadiliano:Uajemi

Latest comment: miaka 10 iliyopita by Riccardo Riccioni

Nilianzisha makala hii sasa nadhani ibadilishwe jina kuwa Iran. Hata Waarabu wenyewe wengi siku hizi wanasema Iran; zamani walisema "Ajm" (=asili ya neno letu Uajemi) lakini haikuwa jina la heshima na Watu wa Iran wanaisikia vile hadi leo. Mnasemaje? Kipala (majadiliano) 21:17, 18 Februari 2014 (UTC)Reply

Labda ukurasa huu ubaki kuhusu nchi ya zamani, na Iran kwa nchi ya sasa. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:59, 19 Februari 2014 (UTC)Reply
Return to "Uajemi" page.