Majadiliano:Ualimu wa kanisa

Latest comment: miaka 16 iliyopita by Kipala in topic Jina la makala

Jina la makala hariri

Naomba jina la makala iangaliwe upya. Makala inahusu ualimu kama utaratibu katika kanisa la kikristo hasa kanisa katoliki. Neno "ualimu" lenyewe linamaanisha zaidi kazi ya mwalimu wa shule yeyote kama huyu ni Mkristo au Mwislamu au hana dini. --Kipala (majadiliano) 19:03, 27 Machi 2008 (UTC)Reply

Return to "Ualimu wa kanisa" page.