Majadiliano:Ufufuko

Latest comment: miaka 13 iliyopita by Kipala

Ninapendekeza kuhamisha makala hii kwenda "ufufuo". Hii ni Kiswahili cha kawaida (naamini sanifu pia) nikihisi ya kwamba "ufufuko" ni Kiswahili cha kimadhehebu. Nimeangalia kamusi za TUKI naona hapa ni vile pia. Kipala (majadiliano) 20:23, 13 Machi 2011 (UTC)Reply

Return to "Ufufuko" page.