Majadiliano:Uhuru

Latest comment: miaka 7 iliyopita by Baba Tabita

Mada ya Uhuru kwa jumla, ninavyoona, ihusu mambo ya kisiasa. Kwa maana nyingine kurasa zenye mabano (kama Uhuru (Dodoma)) zitumiwe. --Baba Tabita (majadiliano) 11:56, 6 Oktoba 2016 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Uhuru ".