Majadiliano:Wilaya ya Igunga
Latest comment: miaka 7 iliyopita by Kipala
Haya ni Majadiliano kwa ajili ya kuboresha makala ya Wilaya ya Igunga. | |||
---|---|---|---|
|
|
Hii ni makala ya Wilaya ya Igunga ipo katika eneo la Wikipedia:Mradi wa Tanzania, juhudi za pamoja katika kuboresha maeneo ya Tanzania kwenye Wikipedia. Iwapo utapenda kushiriki, tafadhali tembelea ukurasa wa mradi, ambapo unaweza kujiunga na majadiliano na utazame orodha ya kazi zilizo wazi. |
Wilaya ya igunga ni moja ya wilaya iliyopo mkoa wa tabora na sasa imekua mamlaka ya mji mdogo ,kiufupi ni wilaya iliyopitiwa na lift valley ,pia ni wilaya nchini tanzania inayokua kwa kasi baada ya miaka mitano inaweza ikawa inahadhi ya manispaa.
(matini iliyowekwa na mtumiaji 41.222.179.141 badala ya matini ya makala yenyewe, nimeihamisha hapa maana aliandika kwa nia njema lakini nje ya utaratibu) Kipala (majadiliano) 07:06, 30 Julai 2016 (UTC)