Majadiliano ya jamii:Bahari

Latest comment: miaka 18 iliyopita by Kipala

Bahari ya Shamu kijiografia si bahari, ni ghuba ya Bahari Hindi. Kawaida ya Kiswahili inaweza kutumia neno "bahari" hata kwa maziwa mbalimbali yaani eneo kubwa la maji. Tunahitaji makala "bahari". --Kipala 01:47, 12 Februari 2006 (UTC)Reply

Return to "Bahari" page.