Majadiliano ya jamii:Mitishamba

Latest comment: miaka 12 iliyopita by ChriKo in topic Mitishamba - miti ya matunda

Mitishamba - miti ya matunda hariri

Ninashangaa kidogo huhusu jamii hii. Sijaangalia yote lakini ninahisi ni zaidi miti ya matu nda mabayo si "mitishamba" - yaani dawa la kienyeji kutokana na mimea. Kipala (majadiliano) 13:06, 11 Februari 2012 (UTC)Reply

Ndiyo, uko sahihi. Sikufikiria vizuri. Nikikuta jamii hii, niliangalia ndani yake nikaona miti ya matunda. Kwa hivyo nimeongeza miti ya matunda mingine. Lakini kweli, “mitishamba” ni dawa litokalo shambani au msituni. Nimeondoa miti ya matunda. ChriKo (majadiliano) 21:27, 11 Februari 2012 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Mitishamba ".