Majadiliano ya kigezo:Agano Jipya

Latest comment: miaka 13 iliyopita by Kipala

Naona kimetengenezwa kigezo kingine kama hiki. Kumbe kilikuwepo na bado kipo! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:47, 25 Septemba 2010 (UTC)Reply

Naona hii sawa unapojadili vitabu vya AJ pekee. Yaani kuitazama kando ni sawa tu inasaidia kuangalia kitabu kingine haraka. Ila tu pale ambako Biblia kwa jumla inajadiliwa inasaidia zaidi kuwa na kielekezo kwa vitabu vyote na hapo ni afadhali chini ya maandishi maana yake kando itakuwa ndefu mno. Kipala (majadiliano) 14:49, 25 Septemba 2010 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Agano Jipya ".