Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

--Mr Accountable (majadiliano) 09:30, 25 Novemba 2009 (UTC)Reply

Hongera ya makala ya Dubai Gold Souk! hariri

Ndugu Abbas. Nimependa sana makala yako husika hapo juu. Umeindika vizuri kabisa. Ila, ningependa kukushauri kitu kimoja. Usipendelee sana kuacha vile vigezo au template za Wikipedia ya Kiingereza - kwani huleta alama mbaya na uchafu makalani. Je, hii lugha ya kuita vigezo au template unaielewa? Ukiwa huambui kitu, basi vigezo huwa na alama za {{hapa lina kaa jina la kigzo}}. Yaani, nimemaanisha hayo mabano uyaonayo hapo juu. Ni afadhali ufute tu hayo mabano. Kingine siyo lazima kutafsiri jamii au category zote za Wikipedia ya Kiingereza. Katika ile ya juu, ungeweza kuweka hata neno Duai tu lingetosha! Ukiwa una swali, basi uliza na utajibiwa! Nikiwa ninatokea Dar es Salaa, Tanzania, niite Muddyb au,--  MwanaharakatiLonga 08:03, 19 Desemba 2009 (UTC)Reply

Mdogo wangu, nimeona kingine. Mara nyingi unaweka alama za KOMA na NUKTA ndani ya mabano mraba ya kuruhusu kiungo cha ndani cha Wikipedia. Hii kamwe haiwezi kuleta viungo vya kweli, la. Kwa mfano hapa:

Airkenya Express ni aina ya ndege iliyo na makao mjini Nairobi, Kenya. Airkenya husafirisha watu kote nchini Kenya na hata pia hadiTanzania. Makao yake makuu ni katika Uwanja wa ndege wa Wilson, Nairobi.


Kwa maana hiyo, NUKTA na KOMA ndani ya mabano mraba ya kuleta viungo kamwe vitu hivyo havitakiwi. Tazama ilivyotakiwa kuwa:
Airkenya Express ni aina ya ndege iliyo na makao makuu yake mjini Nairobi, Kenya. Airkenya husafirisha watu kote nchini Kenya na hata pia hadiTanzania. Makao yake makuu ni katika Uwanja wa ndege wa Wilson huko mjini Nairobi.
Tafadhali uliza tu ukiwa hujaelewa!--  MwanaharakatiLonga 08:16, 19 Desemba 2009 (UTC)Reply

Sukran hariri

Shukran sana kwa pongezi yako. Nimejaribu kufanya marekebisho uliyoniambia, kadri ya uwezo wangu. I'm still new in Wikipedia(that's why it took me ages to reply you), coz I'm kinda having unnecessary technical mishaps here and there. Yours, Abbas Mahmoud

Taarifa za kupandishia makala hariri

Salaaa! Ndugu, umepandishia makala ya In_My_Own_Words - ilhali toka awali ilikuwepo. Makala yako haikuweza kuipiku ile ya kwanza. Hivyo, nimerejesha toleo awali:

 
Onyo dhidi ya kuandika juu ya kazi ya wengine bila taarifa

Ulichangia makala katika wikipedia hii. Asante sana! Kwa bahati mbaya ulichagua kichwa kilichokuwepo tayari. Ukitumia google-translate labda hujatambua ya kwamba uliweka tafsiri yako juu ya makala iliyopo tayari.

Ni sawa kabisa ukibadilisha makala, au kuongeza mambo ndani yake.

Mara chache ni afadhali kufuta yote. Ila tu hapa kwenye wikipedia tunajadiliana kabla ya kufuta kazi ya wengine. Kuna ukurasa wa majadiliano unapoweza kutaja sababu kwa nini makala jinsi ilivyo si nzuri halafu subiri siku 2 hadi kufanya mabadiliko makubwa. Unaweza pia kiuangalia historia ya makala na kumwandikia mchangiaji aliyetangulia moja kwa moja.

Haikubaliki kufuta kazi ya wengine kimya-kimya. Hata kama hujakusudia kufanya hivyo tulilazimishwa kufuta kazi yako na kurejesha hali ya awali. Uko huru kuchukua sehemu za maandishi yako na kupeleka kama nyongeza katika makala iliyopo.

--MwanaharakatiLonga 15:07, 9 Januari 2010 (UTC) Reply

Samahani hariri

I'm sorry I did not know that the article did exist. I hope that this will not happen in the future.

I am, yours, Abbas Mahmoud

Insomniac hariri

Salam, Abbas. Umeona kwamba nimesahihisha vitu viwili-vitatu kwenye makala hiyo hapo juu? Umepiga hatua sana. Sasa ninapendekezo moja. Unaonaje tukishirikiana katika kuanzisha na kuendeleza makala hizi za muziki? Ninaomba hili kwa sababu muziki ndiyo kitu nikipendacho (na hata majedwali hayo nilianzisha mimi) hivyo jinsi ya kutumia ni rahisi lakini tukisaidiana itakuwa poa zaidi. Katika makala hiyo, nitaanzisha makala moja ya single zilizopo mule, halafu wewe utakuwa unafuata mwongozo kutoka kwa makala niliyoianzisha! Juu hayo, kuna haya:

  1. Sio lazima kuweka mabano ya (albamu au single ya fulani) ikiwa hakuna maakala yenye jina sawa na lile la albamu/single
  2. Ukipakiza picha ya albamu au single ni lazima uingize vitu hivi viwili:
    • Hatimiliki ya picha ya albamu inaitwa (Non-free album cover) na hii unaweza kuipata chini ya neno "HATIMILIKI" ikiwa na jina:
      • Kava la albamu au single
        • Ukifungua hapo itakuja yenyewe maelezo husika na kava hilo

3. Pia ni lazima kuweka anwani ya picha ulioichukua kutoka en:wiki, yaani, hivi

http://en.wikipedia.org/wiki/File:Enriqueinsomniac.jpg

Na hiyo hukaa mahali pa muhtasari, ndugu. Ukitaka kuona nini nimefanya kwenye picha ya albamu ya Insomniac, basi tazama hapa! Naomba jibu tafadhali na usikae kimya. Wako,--MwanaharakatiLonga 06:58, 11 Januari 2010 (UTC) Reply


Reply hariri

Salam sana. just tell me which articles you want me to focus on, n I'll try doing them. Thanks for the correction, by the way.

P.S. i might take a little bit longer to assist you in creating those articles since I've resumed school. Sorry for any inconveniences.

Sincerely Abbas Mahmoud

Salam. Sikumaanisha kwamba nikuchagulie makala, la. Shida yangu au wazo langu ni kwamba tuanzishe makala za single za ile albamu ya Enrique (zote mbili) halafu tupunguze idadi ya viungo vyekundu kwenye makala zile.--MwanaharakatiLonga 10:17, 11 Januari 2010 (UTC)Reply

Picha:Mario+-+Mario.jpg hariri

Hi, thanks for uploading pictures to the Wikipedia. Please see Msaada:Picha; it is important that pictures have copyright permissions and categories (for instance "Jamii:Makava ya albamu"). Thanks again. --Mr Accountable (majadiliano) 15:06, 11 Januari 2010 (UTC)Reply

Millenium cover hariri

Salam, Abbas! I strongly advise you to use "hatimiliki" in each and evey albums/singles images. I've seen a lots images which uploaded by you and all of them has no any kind of licensing information. It is necessary to add all those stuffs for the project. It is a normal to follow all the procedures, bro. Try to see what I did for the millenium album cover! It's quite necessary. Recently, I've seen Mr. Accountable wrote to you the same message. Hope you gonna do as what we said! Cheers.--MwanaharakatiLonga 12:15, 15 Januari 2010 (UTC) Reply

Hello, Abbas. I'm pretty sure you did not understand me pretty well. It's okay you added an image tag to an appropriate place, but the URL which you added into it wasn't appropriate at ll. What you added on the Destiny's Child's image was not right. You have to provide the same URL as what it shows at here on the Swahili. For instance, this http://sw.wikipedia.org/wiki/Picha:DC_The_Writing%27s_on_the_Wall_low.jpg it is available here on the Swahili, but where it's coming from? This is why we add its source as http://en.wikipedia.org/wiki/File:DC_The_Writing%27s_on_the_Wall_low.jpg ! The Swahili link has to match with the English one. Hope you are going to understand what I'm saying! Cheers.--MwanaharakatiLonga 10:00, 16 Januari 2010 (UTC)Reply
Furthermore: Also, you are not adding an interwiki into the article. Each every article are suppose to have an interwiki. For further information, please read what is interwiki over here! Cheers.--MwanaharakatiLonga 11:13, 16 Januari 2010 (UTC)Reply
Ni miye yuleyule tena. Una sahau kuweka JAMII kwenye makala za albamu za Destiny's Child. JAMII yao ni "Jamii:Albamu za Destiny's Child". Kila makala ya albamu zao, basi weka hiyo! Cheers.--MwanaharakatiLonga 12:54, 16 Januari 2010 (UTC)Reply
Duh! Mshkaji nimesahau tena. Eti, kumbe hauandiki albamu ya mwaka gani. Kila makala ya albamu inapaswa itajwe ya mwaka gani. Kwa mfano: Jamii:Albamu za 2001, Jamii:Albamu za 1998, Jamii:Albamu za 2008, nk. Hapo je? Basi shwanga...--MwanaharakatiLonga 13:15, 16 Januari 2010 (UTC)Reply

Thank you for sending me the detailed procedure. I will take heed of that.

R:KWC Marking hariri

Hello, Abbas! I've already change the mark as you asked. It's true the mark wasn't the right one. Hope it's fine now. Cheers.--MwanaharakatiLonga 09:01, 24 Januari 2010 (UTC) Reply

Reply:KWC marking hariri

Hello, Shukran sana, Muddyb. I really appreciate what you've done. It has really encouraged me to submit more articles for the challenge. Thanks once again, since those points are really critical at this time since the challenge is coming to an end this week.

Yours, Abbas Mahmoud

Lost hariri

Salam, Abbas. Eti, unaweza kuandika wahusika wa mfululizo huo wa Lost? Yaani, kama jinsi nilivyofanya kwa Daniel Faraday! Huyo ni mmoja kati ya washiriki wa mfululizo huo! Cha kufanya: kila ukiandika makala fupi au ndefu ya muhusika, basi ni lazima kuandika makala nyingine ya jina la mwigizaji. Yaani, ukisema uhusika umechezwa na... Basi lazima makala yake iwepo ili kuleta maana zaidi. Upo tayari kwa hili?--MwanaharakatiLonga 12:01, 25 Januari 2010 (UTC) Reply

Salam, Abbas! Eti ulifikiria kuendeleza makala za wahusika wa Lost? Naona kimya mpaka sasa!!! Cheers.--MwanaharakatiLonga 09:16, 26 Januari 2010 (UTC)Reply
Salaam, MuddyB. Will do that, Inshallah. Have a nice day.

Infobox Film hariri

Salaam, Abbas! Hongera kwa kuanzisha makala za baadhi ya filamu, nasema tena hongera! Lakini pia kuna matumizi ya masanduku ambayo sio sahihi katika makala hizo. Utumiaji huo ni pamoja na kuweka sanduku la habari la "Infobox Television" kwenye makala za filamu. Hii si sahihi. Sanduku la television ni kwa ajili ya TV series tu, basi. Mengineyo, halitumiki! Ikiwa unataka kutumia masanduku ya filamu ni afadhali utumie sanduku lake kwa sababu lipo. Tazama makala ya Mr. & Mrs. Smith - utaona jinsi nilivyoifanya. Nimeiwekea hatimiliki yake ya picha, sanduku la habari halisi, na masawazisho kadhaa ndani yake. Basi ni hayo tu!!!--MwanaharakatiLonga 11:41, 28 Januari 2010 (UTC) Reply

Shukran kwa kunikosoa. Siku njema!
Haya, nimeona pia ukijibu halafu hakuna jina sahihi yako! Ukitaka litokee jina, saa, sahihi, na kadhalika. Basi ukimaliza kuandika - kule mwishoni mwa maandishi yako weka alama hizi: --~~~~. Halafu utaona mwenyewe nini kitakachotokea. Tafadhali jaribu tuone.--MwanaharakatiLonga 12:11, 28 Januari 2010 (UTC)Reply
I am, yours, --Abbasjnr (majadiliano) 04:52, 29 Januari 2010 (UTC)Reply

makala zihitajizo habari hariri

Ndugu Abbas, salaam! Wakati wa shindano, makala nyingi zimeanzishwa bila kuwekewa yaliyomo hata kidogo, nasi wanawikipedia hatukuwa na nafasi ya kurekebisha sana. Kwa hiyo sasa, naomba tusaidiane kusawazisha hizo makala. Kwa mfano, ungeweza kuanza kwa kuangalia orodha ya makala bila jamii. Bila shaka utagundua kadhaa ambazo ni duni, labda yenye maneno mawili matatu tu. Ndivyo nilivyogundua k.m. na makala ya Henri Fayol, mhandisi Mfaransa wa karne ya 19. Sasa ukiangalia mabadiliko niliyoyaingiza utapata mambo ya msingi ya wikipedia. K.m. naingiza kigezo cha {{DEFAULTSORT}} kwa ajili ya orodha ya makala katika jamii ifuate alfabeti vizuri. Tena naingiza jamii za miaka ya kuzaliwa (k.m. [[Jamii:Waliozaliwa 1841]]) na ya kufariki (k.m. [[Jamii:Waliofariki 1925]]). Pia, ikiwa ni makala fupi bila maelezo mengi, naingiza kigezo cha {{mbegu-mtu}} (yaani kama ni mtu). Hatimaye, naingiza kiungo kwa wikipedia ya Kiingereza (k.m. [[en:Henri Fayol]]) ambapo naweza kupata code kwa picha ya mtu (k.m. [[Image:Fonds henri fayol.jpg|thumb|right|Henri Fayol]]) pamoja na habari nyingine. Nitashukuru kwa msaada wako katika kuboresha makala mpya zilizoachwa duni. Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 10:59, 2 Februari 2010 (UTC)Reply

--Abbasjnr (majadiliano) 07:27, 26 Machi 2010 (UTC)Reply

Picha hariri

Salam, Abbas! Nimeingilia kati mazungumzo yako baina ya wewe na Sj. Sababu zilizopelekea kuingilia kati mazungumzo haya, ni pamoja na kwamba Sj uonekano wake hapa SWWP ni mdogo sana. Hivyo ninaweza kusema tu, pakia tu hizo picha ikiwa ni zako. Pia nitakusaidia kuiwekea label ya hatimili - halafu baadaye kuipakia katika Wikimedia Commons. Kwa mtu mgeni kupakia picha commons ni tabu sana, lakini hapa si tabu kabisaaa. Hivyo jimwage tu halafu tuangalie itakuwaje! Wako,--MwanaharakatiLonga 09:40, 26 Machi 2010 (UTC) Reply

Shukran sana, i will do that. Meanwhile, please check the article I created called Nairobi Java House in the English Wikipedia. It has been selected for speedy deletion.

--Abbasjnr (majadiliano) 09:30, 30 Machi 2010 (UTC)Reply

Salam. This is a great idea -- taking your own photos is a very good way to contribute to an article. Please upload them to Wikimedia Commons; then you can use them here (in Swahili) or in any other Wikipedia language. Sj + 15:57, 31 Machi 2010 (UTC)Reply

Usaidizi wa picha hariri

Salam, Abbas! Nimeingilia kati ukurasa wako wa mtuamiaji ili niweze kufanya usaidizi wa picha. Picha yako ilikuwa ikionekana kubwa sana - kiasi kwamba isingeweza kufunguka haraka kwa ukubwa ule! Kumradhi, kaka. Wako,--MwanaharakatiLonga 07:20, 8 Aprili 2010 (UTC) Reply

Shukran sana Muddyb!!! --Abbasjnr (majadiliano) 09:24, 8 Aprili 2010 (UTC)Reply

Salam, could you help me, please! hariri

Salam sorry this is the only thing I'm able to write in Swahili for now. I apologize sincerely for this intrusion and for not being able to speak nor understand your language. My name is Claudi Balaguer, I am a member of a Catalan association "Amical de la Viquipèdia" which is trying to become a Chapter but has seen this rejected because it doesn't belong to a/one state! I thought you could help me begin a support campaign here just as I've already done in other Wikipedias. The first favor I beg from you would be to translate the following template to Swahili (you can translate where you please, you can keep the Catalan part or the English one, as you wish or deem more appropriate!) and also the sentence: "Wikipedians giving support to Wikimedia CAT". Thanks again for your help. I wish you a pleasant and sunny summertime. I hope that you will succeed in obtaining a Kenyan Chapter soon! Take care, have a good night! Capsot (majadiliano) 22:01, 16 Agosti 2010 (UTC)Reply

It's a pleasure to meet a member from Wikimedia CAT. I will translate that for you - but the problem with Swahili is that it's still a young language, hnce the word "chapter" doesn't have a translation in Swahili. But I guess that if I say Wikimedia CAT, then everybody automatically knows that it's a chapter without necessarily having to add the word "chapter" after it. So, "Wikipedians giving support to Wikimedia CAT" roughly translates to "Wanawikipedia wanaunga mkono uanzishaji wa Wikimedia CAT". The template that says: "I support the Wikimedia CAT chapter.

Don't you? Please, give us your support and/or sign following the link on the template." translates into "Mimi ni shabiki wa Wikimedia CAT. Je wewe? Tafadhali jiunge na sisi kwa kufuata tovuti hii". Well, that's the best translation I could give you, although I must admit it's not verbatim. Thanks, and don't hesitate to ask for anything next time:-) Take care. --Abbasjnr (majadiliano) 10:49, 17 Agosti 2010 (UTC)Reply

Habari! Well, I hope I'm not writing nonsense, I've just seen a site with Swahili words and I always try to use some native words and hope I can remind them later... forgive me if I write stupid things and please correct me. Asante sana for your efficient and swift translation, I'm sure it's good even though I'm really far from being an expert in Swahili (actually I'm a real ignoramus...). I've just created the template and I'm about to begin the campaign and ask for support here; if you think that our cause is just you can paste the template on your userpage and sign our "Members and Supporters" list (and please don't forget the flag, I'd love to have at least one Kenyan flag; unfortunately Africa is so unrepresented in the Wikipedias I hope this will change soon) following the link on the template. Thanks for being so nice, in my turn if you ever need something from me about Catalan, Occitan or else (well if you ever come around Perpignan (or Barcelona) just let me know I'll be glad to help and you can come home). If you think that some Catalan articles about Swahili and Kenya need some improvement or be translated or whatever just let me know. Kwaheri! Nimefurahi kukutana na wewe. Capsot (majadiliano) 12:01, 17 Agosti 2010 (UTC)Reply
Mzuri sana! Ofcourse you're not writing nonsense - this is quality discussion that we're having here. That's why I'd like us to continue this via email (abbasjnr@hotmail.com). I find this discussion pages to be too public!! Thanks for the invite:-) And the same goes for me. Whenever you visit Africa, don't hesitate to contact me. Oh, and best wishes in the Catalan Chapter:-) --Abbasjnr (majadiliano) 07:39, 18 Agosti 2010 (UTC)Reply

Barnstar hariri

 
Kwa kazi yako na Wikimedia Kenya

I don't think the hard-working contributors are praised enough, so here is a barnstar for your great work with promoting Wikimedia in Kenya! :-) Jon Harald Søby (majadiliano) 13:41, 16 Novemba 2010 (UTC)Reply

Photo request hariri

Do you do photo requests?

I would like for someone to photograph the Kenya Airways head office on Airport Road North in Embakasi, Nairobi.

I would greatly appreciate it if someone could post a photo of the head office

Thanks, WhisperToMe (majadiliano) 02:22, 30 Desemba 2010 (UTC)Reply

Re:Ahsante hariri

Lakini sifanya kama zamani, kaka.. Au? Si mbaya. Ahsante kwa pongezi lakini. Kila la kheri Abbas!--MwanaharakatiLonga 06:33, 7 Januari 2013 (UTC) Reply

New sign-up page for the Medical Translation Project hariri

Hey!

This is a friendly reminder that the sign-up page at the Medical Translation Project (previously Translation Task force) has been updated. This means everyone has to sign up again. Using the new page it will be easier for us to get into contact with you when there is work available. Please check out our progress pages now! There might be work there already for you.

We are also very proud to introduce new roles and guides which allows people to help who don't have medical knowledge too!

Here are ways you can help!
Community organization
We need involved Wikipedians to engage the community on the different Wikipedias, and to spread the word!
Assessing content
We need language knowledgeable Wikipedians (or not yet Wikipedians) who indicate on our progress tables which articles should and should not be translated!
Translating
We are always on the look-out for dedicated translators to work with our content, especially in smaller languages!
Integration
Translated articles need to be integrated into local Wikipedias. This process is done manually, and needs to take merge or replace older articles.
Template installation
For translations to be more useful templates and modules should be installed. We need people with the technical know-how who can help out!
Programming
Several of our processes are in need of simplification and many could occur automatically with bots.

Please use the sign up page, and thank you guys for all the work you've been doing. The translation project wouldn't be possible without you!


-- CFCF 🍌 (email) 13:09, 24 September 2014 (UTC)

Hi! I'm trying to find Swahili speakers to help with the Global Learning XPRIZE (a kind of Wikipedia for eLearning project). If you or anyone you know might be interested, please contact me on xprizeakl@gmail.com Jg1141 (majadiliano) 11:06, 5 Mei 2015 (UTC)Reply

Karibu tena! hariri

Salaam Abbasjnr naona umerudi kwa nguvu, nafurahi kukuona! Hujambo? Kipala (majadiliano) 08:09, 22 Septemba 2015 (UTC)Reply

Article ideas hariri

Hi! I notice you made the Swahili article on the International School of Kenya. Have you considered making Swahili articles on the en:German School Nairobi, en:Japanese School of Nairobi, or the en:Lycee Denis Diderot (Kenya) (French school)? WhisperToMe (majadiliano) 23:26, 12 Septemba 2016 (UTC)Reply

Sanaipei Tande hariri

Mpendwa Abbas, salaam! Baada ya salaam
Nikupe pole na shughuli za hapa na pale.
Ninaomba uniandikie makala hii: https://en.wikipedia.org/wiki/Sanaipei_Tande yote kama ilivyo kwa Kiswahili. Huyu dada katokea kunivutia sana. Ninaitaka ije kwenye Kiswahili. Ukiona muda wako haba, tafadhali usisite kunijulisha. Nitaindika tu! Please!--MwanaharakatiLonga 05:24, 9 Septemba 2017 (UTC) Reply

InshAllah nitaifanya wiki ijayo. Shukran Abbasjnr (majadiliano) 04:19, 10 Septemba 2017 (UTC)Reply

Hongera ya maraisi, vyanzo hariri

Ndugu asante sana kwa makala zako kuhusu maraisi wa Marekani. Ni kweli unajaza pengo kwenye kurasa zetu. Safi sana! Hii inakuja pamoja na ombi: anza kuingiza marejeo na vyanzo. Si vigumu sana maana bila shaka utatumia makala za enwiki na hapo marejeo na vyanzo hutajwa. ilhali wasomaji wetu wanaelewa Kiingereza si kitu kikubwa kuteua matini ya tanbihi kutoka enwiki na kuzinakili katika makala zako.

Kwa kweli tulipoanza hatujaangalia sana swali la vyanzo kwa hiyo kuna makala nyingi (hata zangu) zisizo na marejeo. Lakini siku hizi tunakazia sana vyanzo. Naomba uingize, ukiwa na nafasi hata kwa makala ulizoweka tayari. Marejeo yatao geza ubora wa makala zako! Kipala (majadiliano) 08:00, 15 Januari 2019 (UTC)Reply

Hamna neno. Nitashughulikia hiyo kazi pia. Asante kwa kunikumbusha. --Abbasjnr (majadiliano) 06:16, 16 Januari 2019 (UTC)Reply
Mbona unaendelea kuweka akala bila vyanzo? Ni ahisi sana wakati wa kutunga, vigumu baadaye. Kipala (majadiliano) 06:47, 29 Januari 2019 (UTC)Reply

Document your culture with Wiki Loves Love 2019 and win exciting prizes! hariri

 

Please help translate to your language

Africa has many beautiful festivals, ceremonies and celebrations of love and we need your help to document these! They are the core part of African culture and in order to make sure this way of life followed by our ancestors remain among us, we need to have them online to make sure they are preserved. Join hands with Wiki Loves Love that aims to document and spread how love is expressed in all cultures via different rituals, celebrations and festivals and have a chance to win exciting prizes!! While uploading, please add your country code in the Wikimedia Commons upload wizard. If you want to organize an on-site Wiki Loves Love event, then contact our international team! For more information, check out our project page on Wikimedia Commons.

There are several prizes to grab. Hope to see you spreading love this February with Wiki Loves Love!

Imagine...The sum of all love!

Wiki Loves Love team 07:34, 4 Februari 2019 (UTC)

Maboresho yangu hariri

Ndugu, asante sana kwa michango yako kuhusu Marais na waigizaji wa Marekani, ila naomba uangalie ninavyorekebisha makala zako, kwa sababu kila mara nalazimika kufanya yaleyale, kumbe ungeweza kufanya mwenyewe. Amani kwako. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:14, 27 Machi 2019 (UTC)Reply


Jenga / Wikimedia Summit hariri

Tfadhali angalia na changia hapa https://sw.wikipedia.org/wiki/Wikipedia:Jumuia#Jenga_Wikipedia_ya_Kiswahili_-_mkutano_Berlin_na_mawazo_kuhusu_Wikimedia_2030_strategy Kipala (majadiliano) 13:09, 17 Desemba 2019 (UTC)Reply