Makari wa Gent (Armenia ya Kale, karne ya 10 - Gent, leo nchini Ubelgiji, 10 Aprili 1012) alikuwa Mkristo wa Armenia ya Kale ambaye alidhulumiwa kwa ajili ya imani yake akahamia Ulaya.

Inasemekana alikuwa askofu[1][2].

Aliishi katika monasteri ya Gent mwaka mmoja hadi akafa kwa tauni[3].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 10 Aprili[4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.