Momoju

(Elekezwa kutoka Mamoudzou)


Momoju ni mji mkuu wa eneo la ng’ambo la Ufaransa la kisiwa cha Mayote. Iko kwenye kisiwa kikuu cha Maore. Kuna takribani wakazi 45,000.

Momoju
Nchi Mayote, Ufaransa
Bahari mbele ya Momoju pamoja na jahazi za mapunziko wakati wa jioni.

Utawala hariri

Mji una vijiji sita pamoja na kitovu cha mji mwenyewe, ndivyo Kaweni (hapa kuna viwanda), Mtsapere, Pasamainti, Vahibe, Tsoundzou I na Tsoundzou II.

Eneo lake hutawaliwa katika wilaya tatu za Momoju I, Momoju II na Momoju III.

Wakazi hariri

Mabadiliko ya idadi ya wakazi
1991 1997 2002
20 307 32 733 45 485
Namba kamili zimepatikana tangu 1991







Wakazi katika vijiji
Village 1997 2002
Kavani 3 948 5 488
Kaweni 6 206 9 604
Momoju 5 666 6 533
Mtsapere 6 979 10 495
Pasamainti 5 173 6 008
Tsountsou I 2 093 3 058
Tsountsou II 574 1 063
Vahibe 2 135 3 236






Viungo vya Nje hariri