Manchester ni mji uliopo kaskazini-magharibi mwa nchi ya Uingereza. Mji unajulikana kama "mji mkuu wa kaskazini ya Uingereza".[1]

Sehemu ya Mji wa Manchester


Manchester
Manchester is located in Uingereza
Manchester
Manchester

Mahali pa mji wa Manchester katika Uingereza

Majiranukta: 53°28′0″N 2°14′0″W / 53.46667°N 2.23333°W / 53.46667; -2.23333
Nchi Ufalme wa Muungano
Nchi ya Ufalme Uingereza
Idadi ya wakazi (2007)
 - Wakazi kwa ujumla 458,100
Tovuti:  www.manchester.gov.uk

Manchester una kilabu mbili za mpira ambazo zinajulikana sana, Manchester United na Manchester City.

Marejeo hariri

  1. "Northern Soul Club UK Life Guide". British Council. 2003. Iliwekwa mnamo 2006-10-24. 

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uingereza bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Manchester kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.