Mannheim ni mji wa Baden-Württemberg nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Rhine. Idadi ya wakazi wake ni takriban 311,342. Mji ulianzishwa 766.

Mannheim

Nembo
Mannheim is located in Ujerumani
Mannheim
Mannheim

Mahali pa mji wa Mannheim katika Ujerumani

Majiranukta: 49°29′0″N 8°28′0″E / 49.48333°N 8.46667°E / 49.48333; 8.46667
Nchi Ujerumani
Jimbo Baden-Württemberg
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 311,342
Tovuti:  www.mannheim.de

Tazama pia hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mannheim kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.