Mansour Belhani (alizaliwa 1 Januari 1990) ni mchezaji wa soka wa Algeria. Kwa sasa anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Olympique de Médéa ya Algeria ligi ya 2. [1][2]

Ushiriki Katika Klabu hariri

Mnamo Agosti 18, 2011, Belhani alitolewa kwa mkopo na klabu ya ASO Chlef kwa upande wa Algeria katika ligi ya Professionnelle 2 kwenda klabu ya Olympique de Médéa. [3]

Heshima hariri

  • Alishinda ligi ya Professionnelle 1 ya Algeria mara moja akiwa na klabu ya ASO Chlef mnamo 2011

Marejeo hariri

  1. "Algeria - M. Belhani - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". 
  2. "La Fiche de Mansour BELHANI - Football algérien". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-09-26. Iliwekwa mnamo 2011-08-22.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)
  3. Belhani prêté à l’O Médéa Archived 2012-06-15 at the Wayback Machine
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mansour Belhani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.