Marawaan Bantam

Mwanasoka wa chama

Marawaan Bantam (alizaliwa 24 Novemba 1977 katika mji wa Cape Town ,Western Cape) ni mchezaji kiungo wa klabu ya soka ya Cape Town All Stars huko Afrika Kusini inayoshiriki ligi daraja la kwanza.

Marawaan anatokea Bonteheuwel.

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marawaan Bantam kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.