Maria Eujenia wa Yesu

Maria Eujenia wa Yesu (jina la awali kwa Kifaransa Anne-Eugénie Milleret de Brou; Metz, Moselle, 25 Agosti 1817Auteuil, Paris, Île-de-France, 10 Machi 1898) alikuwa mtawa Mfaransa aliyeanzisha shirika la Masista wa Kupalizwa Mbinguni kwa ajili ya kulea wasichana[1][2].

Picha halisi ya Mt. Maria Eujenia ya mwaka 1880 hivi.

Shirika hilo limeenea hata Tanzania (Arusha).

Alitangazwa mwenye heri na Papa Paulo VI tarehe 9 Februari 1975, halafu mtakatifu na Papa Benedikto XVI tarehe 3 Juni 2007.

Sikukuu yake huadhimishwa na Kanisa Katoliki tarehe 10 Machi.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. "Saint Marie-Eugénie de Jésus". Saints SQPN. 8 March 2017. Iliwekwa mnamo 1 April 2017.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. "Saint Marie-Eugénie de Jésus". Santi e Beati. Iliwekwa mnamo 1 April 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.